Psalms 139:8-10

8 aKama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko;
nikifanya vilindi
Vilindi ina maana ya Kuzimu, ambayo ni Sheol kwa Kiebrania.
kuwa kitanda changu,
wewe uko huko.
9Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko,
kama nikikaa pande za mbali za bahari,
10 chata huko mkono wako utaniongoza,
mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti.
Copyright information for SwhNEN